Bahati Nasibu - Slunečnice.cz Hlavní navigace

 Bahati Nasibu 1.0.1

Pro hodnocení programu se prosím nejprve přihlaste

Staženo 0 ×
Zdarma

Sdílet

🔔Bahati Nasibu ni application ambayo inakuwezesha kupata kipato kwa njia halali bila na yenye uhakika kwa kutumia simu yako ya mkononi tu.

👉🏿Application hii itakuwezesha kushiriki katika Bahati Nasibu yake ya kulinganisha namba tatu ambazo hazunguka zunguka.

👉🏿Pale utakapo weza kulinganisha namba hizi zote tatu na zikafanana basi utahitajika kuweka namba yako ya simu na utapokea kiasi cha shilingi elfu moja ndani ya masa 48.

👉🏿Haiishii hapo, kwa kila unapocheza una pata pointi moja, ukifikisha pointi 1000, basi utatumiwa elfu moja taslim katika simu yako ya mkononi.


💰Unangoja nini? Changamkia bahati yako!

Pro hodnocení programu se prosím nejprve přihlaste

Staženo
0 ×

TIP: Stahují se vám programy pomalu? Změřte si rychlost svého internetového připojení.