Duniani Leo hii - Slunečnice.cz Hlavní navigace

 Duniani Leo hii 1.3.1

Pro hodnocení programu se prosím nejprve přihlaste

Staženo 0 ×
Zdarma

Sdílet

Kupitia App HII ya Matukio ulimwenguni utaweza kupata habari za kitaifa na za kimataifa bila kusahau habari za michezo.
1.utaweza Kupata Habari mbali mbali za kisiasa, Kiuchumi,kijamii na michezo kutoka ndani na nje ya Tanzania kupitia wavuti zifuatazo;
-BBC SWAHILI
-CRI SWAHILI
-VOA SWAHILI NA NYINGINEZO

2.Utaweza kuhifadhi habari hizo na kuzisoma baadae hata kama hautakuwa na internet.

3.KUTOA Maoni; Utaweza kucomment na kushare habari na rafiki wengine ULIMWENGUNI

4.Habari papo kwa papo; BILA SHAKA Utafahamishwa habari kupitia ujumbe mfupi(Notification) katika simu yako punde zinapochapishwa MARA MOJA

Pro hodnocení programu se prosím nejprve přihlaste

Staženo
0 ×

TIP: Stahují se vám programy pomalu? Změřte si rychlost svého internetového připojení.