Habari sasa kila dakika, video, picha na miziki - Slunečnice.cz Hlavní navigace

 Habari sasa kila dakika, video, picha na miziki 1.0.9.6

Pro hodnocení programu se prosím nejprve přihlaste

Staženo 0 ×
Zdarma

Sdílet

Habari sasa app ni application inayokuwezesha kupata habari zote kutoka blog mbali mbali sehemu moja. Cheza,chat na download video video za kuchekesha na nyinginezo za kuelimisha na utaweza download kila miziki mpya unaokuja ndani ya app hii kirahisi.
App inakuwezesha kupata ujumbe mfupi wa breaking news, matangazo ya kazi na sehemu nyinginezo,mapenzi, mafundisho,simulizi mbalimbali bure kabisa bila malipo yoyote.
Soma kiurahisi kama magazeti bila ya kuwa na usumbufu wa matangazo na kubonyeza bonyeza sehemu nyingi.
Utaitaji kurefresh tu kupata habari mpya mpya kutoka sehemu mbali mbali.
Hana haja ya kuaribu bundle na space kuinstall app nyingi kwenye simu yako.

Pro hodnocení programu se prosím nejprve přihlaste

Staženo
0 ×

TIP: Stahují se vám programy pomalu? Změřte si rychlost svého internetového připojení.