Tenzi za Rohoni - Slunečnice.cz Hlavní navigace

 Tenzi za Rohoni 1.8.8

Pro hodnocení programu se prosím nejprve přihlaste

Staženo 0 ×
Zdarma

Sdílet

Tenzi za Rohoni app inakuwezesha kupata tenzi za rohoni kwenye simu yako kwa urahisi muda wowote na mahali popote.

App hii ina nyimbo za dini 138 kutoka kwenye kitabu cha nyimbo za dini cha Tenzi za Rohoni. Huna haja ya kubeba kitabu cha Tenzi, unaweza kusoma na kusikiliza ala (audio) za nyimbo bila kuwa na intaneti (Offline)

Neno la Kristo na likae kwa wingi ndani yenu katika hekima yote, mkifundishana na kuonyana kwa zaburi, na nyimbo na tenzi za rohoni; huku mkimwimbia Mungu kwa neema mioyoni mwenu.
Wakolosai 3:16

FEATURES
★ Tenzi za Rohoni 138
★ Ala za tenzi bila intaneti (Offline)
★ Pata tenzi kwa urahisi kwa kutafuta kutoka kwenye orodha ya tenzi za rohoni.
★ Tafuta neno lolote kwenye tenzi za rohoni
★ Unaweza kuweka nyimbo unazizipenda kwenye orodha ya nyimbo pendwa
★ Kuongeza ukubwa wa maandishi
★ Kuchagua aina ya fonti za aya
★ Kupanga orodha ya nyimbo kwa kufuata alfabeti

Pro hodnocení programu se prosím nejprve přihlaste

Staženo
0 ×

TIP: Stahují se vám programy pomalu? Změřte si rychlost svého internetového připojení.