Tumwabudu Mungu Wetu 2017 - Slunečnice.cz Hlavní navigace

 Tumwabudu Mungu Wetu 2017 1.0.5

Pro hodnocení programu se prosím nejprve přihlaste

Staženo 2 ×
Zdarma

Sdílet

Kitabu cha Tumwabudu Mungu Wetu chenye Nyimbo ,Liturgia na Kalenda. Pia utaweza kutuma michango kupitia app hii na kama una maswali, maoni unaweza wasilisha kupitia Maoni tutayafanyia kazi

JINSI YA KUNUNUA KITABU
1. Download kitabu na kukiinstall kupitia hapa Playstore (N:B hutaweza kufungua Nyimbo mpaka utakapo kilipia)
JINSI YA KULIPIA
2. Fanya malipo kupitia mitandao ya simu MPESA, TIGOPESA
3. Nakili pembeni namba ya muamala(transaction id) hii itahitajika kuongeza salio kwenye akaunti yako ndani ya kitabu
JINSI YA KUONGEZA SALIO LAKO KITABUNI
4. Fungua kitabu home screen(pale mwanzo wa kitabu unapoona Nyimbo, Liturgia,Maoni etc)
5. Bofya mistari mitatu iliyoko juu kabisa kushoto mwa home screen kufungua side menu
6. Chagua akaunti yangu
7. ikigunguka bofya ongeza salio(fuata maelekezo kuongeza salio, hakikisha unajaza salio kupitia mtandao ulio fanyia malipo #2 hapo kwanza) ukimaliza hatua za kujaza za kujaza salio kwenye akaunti yako salio litakuwa limeongezeka kwenye akaunti yako)
FUNGUA NYIMBO AU LITURGIA
8. Baada ya salio kuongezeka kwenye akaunti yako rudisasa home screen nyimbo na liturgia zitaweza kufunguka

Kwa msaada +255 659397953 au +255 764931035

Pro hodnocení programu se prosím nejprve přihlaste

Staženo
2 ×

TIP: Stahují se vám programy pomalu? Změřte si rychlost svého internetového připojení.