Yaliyotokea Hivi Punde:Matukio Kote Duniani - Slunečnice.cz Hlavní navigace

 Yaliyotokea Hivi Punde:Matukio Kote Duniani 1.1

Pro hodnocení programu se prosím nejprve přihlaste

Staženo 0 ×
Zdarma

Sdílet

Kupitia App HII habari utaweza kupata habari za kitaifa na za kimataifa bila kusahau habari za michezo.
1.utaweza Kupata Habari mbali mbali za kisiasa, Kiuchumi,kijamii na michezo kutoka ndani na nje ya Tanzania kupitia wavuti zifuatazo;
-BBC SWAHILI
-CRI SWAHILI
-VOA SWAHILI NA NYINGINEZO

2.Utaweza kuhifadhi habari hizo na kuzisoma baadae hata kama hautakuwa na internet.

3.KUTOA Maoni; Utaweza kucomment na kushare habari na rafiki wengine ULIMWENGUNI

4.Habari papo kwa papo; BILA SHAKA Utafahamishwa habari kupitia ujumbe mfupi(Notification) katika simu yako punde zinapochapishwa MARA MOJA

Kupitia App HII ya Habari tanzania utaweza kupata habari za kitaifa na za kimataifa bila kusahau habari za michezo.
1.utaweza Kupata Habari mbali mbali za kisiasa, Kiuchumi,kijamii na michezo kutoka ndani na nje ya Tanzania kupitia wavuti zifuatazo;
-BBC SWAHILI
-CRI SWAHILI
-VOA SWAHILI NA NYINGINEZO

2.Utaweza kuhifadhi habari hizo na kuzisoma baadae hata kama hautakuwa na internet.

3.KUTOA Maoni; Utaweza kucomment na kushare habari na rafiki wengine ULIMWENGUNI

4.Habari papo kwa papo; BILA SHAKA Utafahamishwa habari kupitia ujumbe mfupi(Notification) katika simu yako punde zinapochapishwa MARA MOJA

Habari za Kitaifa na za Kimataifa toka duniani kote bila kusahau Michezo
international News From BBC,DW,RFI,IRIB,CRI,VOA at your finger prints
baadhi ya vyanzo vya habari ni Millard Ayo, Mwananchi, Mzlaendo, BBC Swahili, Channel 10, Dar24, Habari Leo, Mwana Spoti, Global Publishers, Mwanahalis Online, Raia Mwema, Swahili Times, VOA Swahili, Swahili Hub, Swahili Times, Perfect255, Shaffih Dauda, Udaku Specially, Dizzim Online, Bongo 5, 8020 Fashions Blog, Full Shangwe Blog, Issa Michuzi, Mitandaoni, Mjengwa Blog, Mtembezi, Habari Kwanza, Ghafla Tanzania, Dewji Blog, Kwetu Tanzania na zinginezo nyingi tunazoendelea kuziongeza

Pia app hii inaruhusu watumiaji wake kunzisha mijadala na kuchangia maoni juu ya mijadala hiyo. Pia watumiaji wanaweza kutoa maoni juu ya habari fulani waliyoisoma.
✓ Pia utapata videos kali za muziki, mahojiano ya wasanii na watu mashuhuri na vingine vingi uvipendavyo 📺

✓ Habari za siasa na matukio mbalimbali yanayotokea ndani na nje ya Tanzania.

✓ Jifunze pia mbinu za mapenzi & mahusiano 💖 bila kusahau vituko/vichekesho na habari za michezo ⚽️

✓ Pia unaweza kupata nyimbo mpya za bongoflava na burudani zote kwa kiswahili na taarifa kuhusu filamu na sanaa 📺
Pata kurasa za mbele na nyuma za magazeti yote ya Tanzania, Riwaya na Hadithi za Kusisimua pamoja na habari zote za Burudani na Siasa

Ungana nasi kila siku kwa habari motomoto ndani na nje ya Tanzania. Pata kurasa za mbele na nyuma za magazeti yote ya Tanzania, Habari za kijamii, Siasa, Udaku, Burudani na Mengine mengi

pplication Imesheheni habari Mbali Mbali Kutoka Tanzania Hasa za Udaku, Siasa na vituko na Mafunzo ya Mapenzi Katika Jamii...

Fanya Kuinstall ili Uweze kupata Habari kwa Wakati

Huta Juta Kuwa na Application hii Katika Simu Yak

Pro hodnocení programu se prosím nejprve přihlaste

Staženo
0 ×

TIP: Stahují se vám programy pomalu? Změřte si rychlost svého internetového připojení.